2 Chronicles 3:1
Solomoni Ajenga Hekalu
(1 Wafalme 6:1-38; 7:15-22)
1 aNdipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, ▼▼Pia anaitwa Ornani kwa Kiebrania.
Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.
Copyright information for
SwhNEN