2 Chronicles 24:1
Yoashi Akarabati Hekalu
(2 Wafalme 12:1-16)
1 aYoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka arobaini. Mama yake aliitwa Sibia aliyekuwa ametoka Beer-Sheba.
Copyright information for
SwhNEN