2 Chronicles 22:6
6 aHivyo akarudi Yezreeli ili apate kuuguza majeraha aliyojeruhiwa huko Ramothi ▼▼Yaani Rama kwa Kiebrania.
alipopigana na Hazaeli mfalme wa Aramu.Ndipo Ahazia mwana wa Yehoramu, mfalme wa Yuda, akashuka kwenda Yezreeli kumtazama Yoramu mwana wa Ahabu, kwa sababu alikuwa amejeruhiwa.
Copyright information for
SwhNEN