‏ 2 Chronicles 2:17

17 aNdipo Solomoni akaamuru ifanyike hesabu ya wageni wote waliokuwa katika Israeli, baada ya ile hesabu iliyofanywa na Daudi; wakapatikana watu 153,600.
Copyright information for SwhNEN