‏ 2 Chronicles 17:11

11 aBaadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700.

Copyright information for SwhNEN