‏ 2 Chronicles 14:5

5 aAkaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na madhabahu za kufukizia uvumba kwenye kila mji katika Yuda, nao ufalme ulikuwa na amani katika utawala wake.
Copyright information for SwhNEN