‏ 2 Chronicles 14:2-3

2Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa Bwana Mungu wake. 3 aAkaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera.
Copyright information for SwhNEN