‏ 1 Timothy 4:3-5

3 aWao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli. 4 bKwa maana kila kitu alichokiumba Mungu ni chema, wala hakuna kitu chochote cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukrani, 5 ckwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.

Copyright information for SwhNEN