‏ 1 Timothy 2:11-12

11 aMwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote. 12 bSimpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya.
Copyright information for SwhNEN