‏ 1 Thessalonians 5:4-5

4 aBali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi. 5 bNinyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku.
Copyright information for SwhNEN