‏ 1 Samuel 8:3

3 aLakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.

Copyright information for SwhNEN