1 Samuel 4:21-22
21 aAlimwita yule mtoto Ikabodi, ▼▼Ikabodi maana yake Utukufu wa Bwana umeondoka.
akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe. 22 cAkasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.”
Copyright information for
SwhNEN