‏ 1 Samuel 30:1

Daudi Aangamiza Waamaleki

1 aDaudi na watu wake wakafika Siklagi siku ya tatu. Basi Waamaleki walikuwa wamevamia Negebu na Siklagi. Wakawa wameshambulia mji wa Siklagi na kuuteketeza kwa moto,
Copyright information for SwhNEN