‏ 1 Samuel 25:44

44 aLakini Sauli alikuwa amemwoza Mikali binti yake, aliyekuwa mkewe Daudi, kwa Palti mwana wa Laishi, kutoka Galimu.

Copyright information for SwhNEN