1 Samuel 23:28-29
28Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi. ▼▼Sela-Hamalekothi maana yake Mwamba wa Kutengana.
29 bNaye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.
Copyright information for
SwhNEN