‏ 1 Samuel 23:18

18 aWote wawili wakaweka agano mbele za Bwana. Kisha Yonathani akaenda zake nyumbani, lakini Daudi akabaki Horeshi.

Copyright information for SwhNEN