‏ 1 Samuel 2:27

Unabii Dhidi Ya Nyumba Ya Eli

27 aBasi mtu wa Mungu akaja kwa Eli na kumwambia, “Hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Je, sikujifunua waziwazi kwa nyumba ya baba yako wakati walikuwa huko Misri chini ya Farao?
Copyright information for SwhNEN