‏ 1 Samuel 17:58

58 aSauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?”

Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”

Copyright information for SwhNEN