‏ 1 Samuel 14:48

48 aAkapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara.


Copyright information for SwhNEN