‏ 1 Peter 5:5

5 aVivyo hivyo, ninyi mlio vijana watiini wazee. Nanyi nyote imewapasa kujivika unyenyekevu kila mtu kwa mwenzake, kwa kuwa,

“Mungu huwapinga wenye kiburi,
lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
Copyright information for SwhNEN