‏ 1 Peter 2:21-23

Mfano Wa Mateso Ya Kristo

21 aNinyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake.

22 b“Yeye hakutenda dhambi,
wala hila haikuonekana kinywani mwake.”
23 cYeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki.
Copyright information for SwhNEN