1 Kings 8:55-56
55Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:56“Ahimidiwe Bwana, aliyewapa pumziko watu wake Israeli kama vile alivyokuwa ameahidi. Hakuna hata neno moja lililopunguka kati ya ahadi zote nzuri alizozitoa kupitia mtumishi wake Mose.
Copyright information for
SwhNEN