1 Kings 7:15-16
15 aHiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, ▼▼Dhiraa 18 ni sawa na mita 8.1.
kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili ▼▼Dhiraa 12 ni sawa na mita 5.4.
kwa mstari. 16 dPia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano ▼▼Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
kwenda juu.
Copyright information for
SwhNEN