1 Kings 6:2-3
2Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya Bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, ▼▼Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.
upana wa dhiraa ishirini ▼▼Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
na kimo cha dhiraa thelathini ▼▼Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.
kwenda juu. 3 dBaraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.
Copyright information for
SwhNEN