‏ 1 Kings 6:2

2Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya Bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini,
Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.
upana wa dhiraa ishirini
Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
na kimo cha dhiraa thelathini
Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.
kwenda juu.
Copyright information for SwhNEN