1 Kings 5:18
18Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali ▼▼Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti).
walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Copyright information for
SwhNEN