1 Kings 5:17-18
17 aKwa amri ya mfalme walitoa kwenye machimbo ya mawe, mawe makubwa, yaliyo bora kwa kujengea msingi wa nyumba yaliyochongwa kwa ajili ya Hekalu. 18Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali ▼▼Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti).
walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Copyright information for
SwhNEN