1 Kings 5:1
Maandalio Ya Ujenzi Wa Hekalu
(2 Nyakati 2:1-18)
1 aHiramu mfalme wa Tiro aliposikia kuwa Solomoni ametiwa mafuta awe mfalme mahali pa Daudi baba yake, akatuma wajumbe kwa Solomoni, kwa sababu Hiramu siku zote alikuwa na uhusiano mzuri wa kirafiki na Daudi.
Copyright information for
SwhNEN