‏ 1 Kings 4:22-23

22 aMahitaji ya Solomoni ya kila siku yalikuwa kori thelathini
Kori 30 ni sawa na madebe 360.
za unga laini, kori sitini
Kori 60 ni sawa na madebe 720.
za unga wa kawaida.
23 dNgʼombe kumi wa zizini, ngʼombe ishirini wa malisho, kondoo na mbuzi mia moja, pamoja na ayala, paa, kulungu na kuku wazuri sana.
Copyright information for SwhNEN