‏ 1 Kings 3:1

Solomoni Anaomba Hekima

(2 Nyakati 1:3-12)

1 aSolomoni akafanya urafiki na Mfalme Farao wa Misri na kumwoa binti yake. Akamleta huyo binti katika Mji wa Daudi mpaka alipomaliza kujenga jumba lake la kifalme na Hekalu la Bwana, pamoja na ukuta kuzunguka Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN