‏ 1 Kings 2:13

Kiti Cha Ufalme Cha Solomoni Chaimarishwa

13 aBasi Adoniya, mwana wa Hagithi, akaenda kwa Bathsheba, mama yake Solomoni. Bathsheba akamuuliza, “Je, umekuja kwa amani?”

Akajibu, “Ndiyo, kwa amani.”
Copyright information for SwhNEN