‏ 1 Kings 19:15

15 a Bwana akamwambia, “Rudi kwa njia uliyoijia, uende kwenye Jangwa la Dameski. Wakati utakapofika huko, mtie Hazaeli mafuta awe mfalme wa Aramu
Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).
Copyright information for SwhNEN