‏ 1 Kings 19:12

12 aBaada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini Bwana hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunongʼona.
Copyright information for SwhNEN