‏ 1 Kings 16:28

28 aOmri akalala pamoja na baba zake na akazikwa huko Samaria. Ahabu mwanawe akatawala mahali pake.

Copyright information for SwhNEN