1 Kings 11:5-7
5 aSolomoni akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki ▼▼Moleki au Milkomu ni mungu aliyekuwa akiabudiwa na Waamoni; alikuwa chukizo kwa sababu watoto walitolewa kafara kwake.
mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni. 6 cKwa hiyo Solomoni akafanya uovu machoni pa Bwana; hakumfuata Bwana kikamilifu kama alivyofanya Daudi baba yake. 7 dKwenye kilima mashariki mwa Yerusalemu, Solomoni akajenga mahali pa juu kwa ajili ya Kemoshi chukizo la Wamoabu, na kwa Moleki mungu chukizo la Waamoni.
Copyright information for
SwhNEN