‏ 1 Kings 11:5

5 aSolomoni akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki
Moleki au Milkomu ni mungu aliyekuwa akiabudiwa na Waamoni; alikuwa chukizo kwa sababu watoto walitolewa kafara kwake.
mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni.
Copyright information for SwhNEN