1 Corinthians 3:18-20
18 aMsijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima. 19 bKwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,” 20 ctena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.”
Copyright information for
SwhNEN