‏ 1 Corinthians 15:24-25

24 aNdipo mwisho utafika, wakati atakapomkabidhi Mungu Baba ufalme, akiisha angamiza kila utawala na kila mamlaka na nguvu. 25 bKwa maana lazima Kristo atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Copyright information for SwhNEN