1 Chronicles 6:78-80
78 aKutoka kabila la Reubeni, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko
walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa, 79 bKedemothi na Mefaathi pamoja na maeneo yake ya malisho.
80 cNa kutoka kabila la Gadi
walipokea Ramothi huko Gileadi, Mahanaimu,
Copyright information for
SwhNEN