‏ 1 Chronicles 6:36-39

36mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli,
mwana wa Azaria, mwana wa Sefania,
37 amwana wa Tahathi, mwana wa Asiri,
mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora,
38 bmwana wa Ishari, mwana wa Kohathi,
mwana wa Lawi, mwana wa Israeli;
39 cna msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume:
Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Copyright information for SwhNEN