1 Chronicles 3:17-19
Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho
17 aHawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:Shealtieli mwanawe, 18 bMalkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.
19 cWana wa Pedaya walikuwa:
Zerubabeli na Shimei.
Wana wa Zerubabeli walikuwa:
Meshulamu na Hanania.
Shelomithi alikuwa dada yao.
Copyright information for
SwhNEN