1 Chronicles 29:4
4 atalanta 3,000 ▼▼Talanta 3,000 za dhahabu sawa na tani 110.
za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 ▼▼Talanta 7,000 za fedha ni sawa na tani 260.
za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,
Copyright information for
SwhNEN