‏ 1 Chronicles 29:28

28 aDaudi akafa akiwa mzee mwenye umri mwema, akiwa ameshiba siku, utajiri na heshima. Naye Solomoni mwanawe akawa mfalme baada yake.

Copyright information for SwhNEN