1 Chronicles 2:13-17
13 aYese akawazaaEliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea, ▼ 14wa nne Nethaneli, wa tano Radai, 15wa sita Osemu, na wa saba Daudi. 16 cDada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli. 17 dAbigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Copyright information for
SwhNEN