‏ 1 Chronicles 2:10-12

Kuanzia Ramu Mwana Wa Hesroni

10 aRamu alimzaa
Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi, 12 bBoazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.
Copyright information for SwhNEN