1 Chronicles 17:16
Maombi Ya Daudi
(2 Samweli 7:18-29)
16 aNdipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema:“Mimi ni nani, Ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Copyright information for
SwhNEN